Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Kwa ustawi wa watoto wetu tunatoa wito kwa jamii nzima ya watumiaji wa mitandao kuelewa kuwa hayupo mtu mmoja au taasisi moja au hata Serikali inayopaswa kusukumiwa lawama zote za matukio ya unyanyasaji wa watoto mitandaoni. Jukumu ni letu sote.
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/3aBq9iKSjX
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/3aBq9iKSjX