Analyse @MsichanaUwezo's tweets
@MsichanaUwezo
| 13,571 followers
Leo tumekutana na wadau wanaopigania haki za wasichana Tanzania ili kujifunza kutoka kwa wadau hao na kuangalia ni kwa jinsi gani tunaweza kwenda kwa pamoja kwenye kumaliza ndoa za utotoni na kushikilia bango ajenda hii. #NiZamuYaWabungetecmn https://t.co/ZbBPiGlXqN