Analyse @MariaSTsehai's tweets
@MariaSTsehai
| 1,244,658 followers
Tatizo lilianzia hapa @MagufuliJP akishabikia VIOLENCE tena against women! Tulikemea!
“Kama kuna shangazi zake ndio ningeanza kwenda kupiga hao. Ah, nasema ukweli wala sifichi”
Sasa ni mwendo wa kudunda wananchi kama mpira! Ipo siku itarudishwa wasipojisahihisha
#TutaelewanaTu https://t.co/ZuYsf7jLnX