Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Moja ya matatizo Africa ni watu kuwa na fikra zisizo na uadilifu, mfano wa fikra hizo ni Bodi ya chuo huria kumshinikiza mkuu wa chuo kuomba radhi bila ya kuwa na kosa, kwa sababu tu amesema jamii ya chuo hicho ichukue tahadhari ya #TzCovid19 - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/CLJAHyBMjG