Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
Msichana (10) mkazi wa Mtaa wa Rwazi kata ya Kahororo, Bukoba amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa, taarifa za Madaktari zinasema alibakwa na kisha kuuawa, DC wa Bukoba Deodatus Kinawilo amewaagiza Polisi kuanza uchunguzi———> “Wahuni wote kamata tutajuana kulekule Polisi” https://t.co/4PGEbZaXg6