Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Mmewahi kusikia kuhusu fedha za plea bargain ( Kwa DPP kutokana na watuhumiwa kukili makosa) , Nimesikia hizo pesa zinakwenda kwenye account kubwa binafsi, nasubiria kuona ukaguzi wa 2020/2021 utuonyesha hizo pesa zilikuwa zinakwenda wapi - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/hEzz3wCZXZ