Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Kuna mtu ninamfahamu niliwahi kuongea naye, huyu ni mtu mwelevu wa mjini, mara nyingi alipokuwa alipopigiwa simu na vyombo vya dola ( uchunguzi) alikwenda na kuuliza shida ni nini na kiasi gani kinatakiwa? anakwenda bank nakuwapelekea usumbufu unaisha - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/wX2CmepbMp