Analyse @fatma_karume's tweets
@fatma_karume
| 1,097,280 followers
SHERIA inamuamuru DPP kuhakikisha he doesn’t abuse legal process na anatenda HAKI.
Naomba kumuuliza Biswalo:
Ukishampiga mtu na money laundering halafu unakwenda Mahakamani kwa miaka 3 unasema kesi haiwezi kuendelea kwa sababu ushahidi haujakamilika, unatenda HAKI? https://t.co/qTSKi5Q6XL