Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Moja ya mambo tusimamie ni uwazi serikalini, kiuhalisia tunatakiwa kujua nini kinaendelea kwenye baraza la mawaziri, baraza la mawaziri liwe wazi kwa umma ili tujue kila waziri ana msimamo gani kwenye masuala ya umma, Uswiss ni mfano mzuri kwa ili - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/87kiHy7ETV