Analyse @seif_tanzania's tweets
@seif_tanzania
| 2,920 followers
Rais wa Tanzania, @SuluhuSamia akiwa nchini Uganda na Rais @KagutaMuseveni katika hafla ya utiaji saini wa mkataba kati ya serikali ya Uganda na Kampuni ya mafuta ya EACOP, juu ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi Hoima, Uganda kwenda Tanga, Tanzania. https://t.co/Fbpj5nYCRO