Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Website ya klabu ya Real Betis ya Hispania imeziondoa timu tatu za juu ambazo ni Atletico, Barcelona na Real Madrid, katika msimamo wa La Liga baada ya klabu hizo kujiunga katika michuano mpya ya #SuperLeague. https://t.co/ZooQRvq1n0