@CarolNdosi | 349,410 followers
#Tanzania

Huyu ni @IdrisSultan kwenye moja ya kazi zake za uigizaji.

Usikose kumuangalia kwenye filamu mpya #SlayOnNetflix #SlayNetflix inatoka 26 April 2021 kwenye jukwaa la @netflix

Hakika huu ni mwanzo wa talanta za kitanzania kuonekana zaidi kwenye majukwaa ya kimataifa

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 25 replies and 17 quotes found
Yani nikiwa red carpet Oscars nakupa bonge la shout out nataja hata na nyama choma festival humo humo 馃槀
 
In reply to @IdrisSultan
@IdrisSultan you're a true fighter... Ila kwenye swali lako... Kuna jibu lake! 馃槀馃槀馃挴馃攰 pic.twitter.com/aQ5mDXZOkq
 
In reply to @CarolNdosi
Wangempa K Vanga mbona angeforget tu 馃槀馃槀馃槀 grants miyeyusho
 
This is really good work!Congrats @IdrisSultan for inspiring other Tanzanian actors & artists!Kazi kwao sasa.
 
Hivi ile only facts account haijaona hizi facts? we need to tag them.
 
 
 
In reply to @IdrisSultan
@IdrisSultan Hongera sana Bro! We all Looking forward to this!!
 
In reply to @CarolNdosi
My babyyyyyyy 馃槏馃グ
 
In reply to @CarolNdosi
Huyu jamaa anapaswa kuweka mkazo kwenye tasnia yake ya uigizaji itampa jina kubwa na itakuwa ni mbadala wa kanumba Kama ataamua kuifany Kama kazi yake
 
In reply to @CarolNdosi
Jamaa anakuja vizuri..ila inatakiwa akaze buti kweny drama...yaani lugha ya picha..mfano ktk hii clip..ukitizama sura sometimes inakataana na ujumbe anaobeba. Ila all in all yupo vizuri atakuja kuwa mtu mkubwa huko mbeleni. Ongera Idris
 
 
In reply to @CarolNdosi
Ukilewa utalala ukiamka Ngoma iko pale pale, utakunywa chipa ngapi za Grants. Maneno mazuri @IdrisSultan
 
In reply to @CarolNdosi
Is anyone getting some Denzel Washington vibes from that facial expression au ni mm tu??
 
Nipo na survey sehemu ya kujenga sanamu yake!!
 
In reply to @CarolNdosi
Hizo fuckn fuckn znaihisia sana,inaonesha znapendwa uko Netflix..akazane atatoboa
 
In reply to @CarolNdosi
Mungu azidi kukupambania zaidi
 
 
 
In reply to @CarolNdosi
Mzee umeua sana...馃槀馃槀馃敟馃敟馃敟馃敟
 
In reply to @CarolNdosi
Mzee baba kunywa Konyagi utasahau utalala 馃槀馃槀馃槀 grants itashuka
 
鈴煍傪煋斤笍馃摵馃帴鈾ワ笍鈾ワ笍馃敟馃敟馃敟馃敟鈽勶笍
 
 
Sema nn..
Jamaa kaupiga mwingi sana hapa kama Chelsea ya Tunchel
 
In reply to @CarolNdosi
Et wisky akat kitu Cha chai ya rangi 馃ぃ馃ぃ馃ぃ
 
In reply to @MvuviMovies
@MvuviMovies unaona huu uigizaji? Huu ndo tunataka sasa. Huu ndo wa tunaweza sema tunaelekea kutafuta tuzo.
 
In reply to @CarolNdosi
Mimi niliachaga kufutilia movi za bongoland Ila huyu ameshaanza kunirudisha kidogokidogo!!!!!
 
In reply to @CarolNdosi
Nkajua danzel Washington you are on next level bro huku Madagascar tunakuaminia
 
 
In reply to @CarolNdosi
馃敟馃敟馃敟馃敟馃挴馃挴馃挴馃挴馃嚬馃嚳
 
 
馃敟馃敟馃敟馃敟
 
In reply to @CarolNdosi
Mwangu Mpcb @IdrisSultan mpka ukalia 馃榿馃榿馃榿馃榿 kwel hilo ni #Tatizo
 
 
In reply to @CarolNdosi
Achague sanamu lake tujenge wapi kwa hapa dar na kule arusha
 
In reply to @CarolNdosi
 
In reply to @CarolNdosi
Yes pindua tasnia ya form four felia...馃榿馃榿馃榿
 
In reply to @CarolNdosi
Hiyo kofia ulinunua bei gan
 
Idriss atakuja kuwa billionea hapa nchin muda utaongea sanaa yake itakuja kumlipa mara 1000 na watu hawataamin
 
In reply to @CarolNdosi
'Fuickingg' ya tom shelby kabisaa馃檶馃従
 
In reply to @CarolNdosi
Complacency is the enemy of excellence. Well and Gud brother. Dada zako tunakutakia kila lenye heri
 
In reply to @CarolNdosi
Hii ni fahari ya nchi kwa kweli
 

Retweeters

174 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.