@TunduALissu | 305,773 followers
The Ngorongoro Conservation Area Authority has halted plans to evict hundreds of Maasai people following our Cyber Lounge debate on conservation and rights abuses in Tanzania's protected areas. Time has come to end crimes against humanity committed in the name of conservation.

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 18 replies and 3 quotes found
In reply to @StephenCorrySvl
@StephenCorrySvl @caro_pearce @LongoFiore The pirates keep trying in vain to stop the flow of a river. Natives are waking up all over the world to their rights and Conservation will have to listen. Aluta continua ✊🏿
 
In reply to @TunduALissu
When Maasai people were moved from Serengeti to Ngorongoro in 1959 after an agreement with the colonial British government there were no wildlife in Ngorongoro. Wildlife from Serengeti moved together Maasai to Ngorongoro. This phenomena is well documented with evidence.
 
In reply to @TunduALissu
Mjue hapa kuna watu wameshaumizwa huko , kelele za watu mitandaoni zimesaidia .Halafu mbona Rais alitoa maelezo mazuri tuu .Mchague mbuga ife or ibaki na kama inawezekana kuchukuwa record za watu waliopo sasa ndani ya mbuga hakuna kuongezeka wala kuendelea kujenga tena huko
 
In reply to @TunduALissu
Ngorongoro si nyumbani kwa maasai pekee bali datoga ,maasai na hadzabe,lakini majority ni maasai ,na ndio wanahodhi eneo kubwa kwa makubaliano ya 1959 baada ya wao kuhamishwa kutoka serengeti na kuambiwa waishi hapo,hivyo kuwatoa ni process kidogo
 
In reply to @TunduALissu
Good move let those money laundering land grabbing "conservationists" go conserve Europe , they have done enough damage in Kenya
 
In reply to @TunduALissu
Kwanini wasitafutie eneo lingine . ?
 
In reply to @TunduALissu
This is pure Impunity 😞😢
 
In reply to @TunduALissu
Too much KNOW! TOO NDUU LIISUU! YOU pretend to defend everything goes by LAW ENFORCEMENT AGENCIES especially from the TANZANIAN GOVERNMENT! What's wrong with you?¿ pic.twitter.com/IfLLWmo4WM
 
In reply to @TunduALissu
Mh Lisu cyber Lounge nikiwa Tanzania nitaipataje live?
 
 
In reply to @TunduALissu
Wewe ni mpuuzi. Kukaa kwako ubelgiji kusikufanye huijui vizuri ngorongoro na umuhimu wake, au wamasai walivyo wajinga wakichiwa tu bila kuwekwa sawa. Unachojua wewe nikuongelea kila jambo kisiasa tu. Uwezo wa kupambanua na kuhusianisha mambo mdogo kama sisimizi
 
Heh... I can approve Tz stuff. I'm not authorized. Watu wajipange
 
In reply to @TunduALissu
Huna akili wewe na hicho kingereza chako
 
In reply to @TunduALissu
Kwa hela wanazo pata. Wajenge kijiji cha kisasa na kuwahamisha sio kuwafukuza. Huu ni udkt.
 
 
In reply to @TunduALissu
Huyu jamaa hafai, na salama yetu hakua Rais. Yeye kila jambo la serikali lazima apinge. Haiwezekani wamasai waendelee kujitanua. Wanyama hawawezi kuhamishwa ila wamasai wanaweza. Wahamishwe tu waachane na huyu mwanasiasa uchwara.
 
In reply to @TunduALissu
nikwe wamaasaj waondoke baadhi yao mana iyo ngorororo ni uridhi wetu ukipotea kizazi kijacho kitajifunz nn sasa wafanya tu utaratibu mzun usio waumiza wamasai nq watu wengije wanaoishi ndani bila kugomvi
 
 
 
In reply to @TunduALissu
 
Over 1 replies and quotes not shown

Retweeters

153 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.