@swahilitimes | 737,087 followers
#Yanayojiri

Rais wa Chad, Idriss Deby amefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi wa Urais kwa muhula wa sita.

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 32 replies and 18 quotes found
In reply to @swahilitimes
Madikteta huu ndo mwaka wao nini? 馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀
 
Vyama vya Upinzani Vimeteswa sana na Rais huyu Vimemwomba MUNGU kasikia KILIO Chao hakika MUNGU Huyu HADHIHAKIWI Ukimdhihaki Lazima UFE
 
Mungu amewajilia watu wake kuwakomboa mikononi mwa watawala madikteta
 
In reply to @swahilitimes
Safi sana nina kabisa uyu siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi jeshi lilikua linapiga mazowez mji mkuu wa chad asante sn mungu kwa ukuu wako kazi yetu ni kukushitakia wewe ndio akimu wetu wa haki
 
In reply to @swahilitimes
On behalf of mama yetu and the People of the United Republic of Tanzania tunawapa pole, mama anajiandaa na malkia wa nguvu馃檹
 
There is always a time to let go of power. It does not have to end thusly
 
In reply to @swahilitimes
Amekufuru kukaa madarakani 30 yrs, mtoa roho akamwambia asonge front kwenye mapambano dhidi ya waasi kumbe ndo anakwenda kupoteza uhai. Dunian tunapita ila watawala wakisiasa ilo kwao awaliamini hadi walione kaburi
 
Mother nature decides to take matters into her own hands.. she is cleaning y'all!
 
In reply to @swahilitimes
Miaka 30 toka 1990 ni yeye tu raisi kama mseveni Aisee apumzike tu
 
 
In reply to @swahilitimes
Hakika Labana ana siri kubwa kwa kila mja hapa duniani.. R.I.P Idriss Deby馃槶馃槶
 
I'm starting to think that maybe 'Israel mtoa roho' ni department uko kwa sir God, sio Malaika mmoja. Na hivi recently a new angel amechaguliwa kusimamia file la Africa affairs
馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀
 
In reply to @swahilitimes
馃ぃ馃ぃ馃ぃ malaika wameamua watusaidie kaz
 
 
Usikute wabunge wake walishasema atake asitake tunamuongeza muda
 
 
 
In reply to @swahilitimes
Ila ninyi acheni Mungu aitwe Mungu haya huko bendera nusu mlingoti au?mwongozo pls #katiba yao inasemaje wajuzi huko #Chad sorry mnaweza tudokezea @MwanzoTv @MariaSTsehai
 
In reply to @swahilitimes
Hii formula waliyoitumia ni nzuri sana! Majeshi ya huko yanastahili pongezi 馃榾馃榾
 
 
In reply to @swahilitimes
Bado bwana hajamfanyia ndugu yetu @HEBobiwine pale Uganda! Keep waiting bro
 
Nyeeeee! Amkeni! Amkeni Bwana....Amekufa Mwingine Bwana馃槀 馃ぃ 馃ぃ
 
In reply to @swahilitimes
Mungu wa sasa nikijana ukizigua tu na yeye anakuzigu Ona kilichotokea unaigia kimabavu na yeye anakuchomoa ataki mizenwe
 
 
 
In reply to @swahilitimes
wahuni walikuwa wanamsikilizia tuu nae kajaa
 
In reply to @swahilitimes
Ahhahahaha mbona kichekesho jamani
 
In reply to @swahilitimes
Tunawapongeza Chad kwa kupatwa na msiba huo
 
In reply to @swahilitimes
KHANGA KUBWA YA ZANZIBAR MATERIAL GANI 鉃★笍cotton pure MATUMIZI YAKE 鉃★笍kushona na kufunga HAZIPAUKI WALA KUCHUJA BEI 20,000/=TZS rejareja 17,000/=TZS jumla MAWASILIANO 鈽庯笍 +255 786151727 鉃★笍watsapp wa.me/message/HNVG5L鈥 TUNATUMA 鉃★笍mikoa yote Tanzania 馃殮 TUNAFANYA DELIVERY pic.twitter.com/De6QMqn3XU
 
In reply to @swahilitimes
Another man down 馃槼
 
Sijasikitika hata more than 30 years in power damn.
 
In reply to @swahilitimes
Shout-out to soldiers 馃檹馃徔馃檹馃徔馃檹馃徔
 
 
 
In reply to @swahilitimes
 
Wacha aende Hawa watu wa kutaka kukaa madarakani mpk wafie hapo hamna namna ya kuwaondoa zaidi ya hivyo
 
 
In reply to @swahilitimes
tambueni mtoto wake ndio karithi madaraka so mambo ni yale yale
 
In reply to @swahilitimes
 
In reply to @swahilitimes
Mwenyezi Mungu sasa hivi ameamua kuwapatiliza watesaji na wauaji ili kuwapa funzo wanaowarithi nafasi zao
 
In reply to @swahilitimes
Nature has acted instead.
 
In reply to @swahilitimes
 
 
 
In reply to @swahilitimes
 
Over 5 replies and quotes not shown

Retweeters

75 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.