Analyse @Mwanahalisitz's tweets
@Mwanahalisitz
| 347,099 followers
Natamani kurudi nyumbani (Tanzania), kushiriki sherehe za ndugu na rafiki zangu lakini siwezi thubutu, inaweza kuniletea maumivu makubwa, lakini nitakapopata uthibitisho wa uhakika kwamba kuna haki na amani ya kutosha juu yangu nitarudi- Godbless Lema, aliyeko uhamishoni Canada https://t.co/YBbuaXTvv3