Analyse @IAMartin_'s tweets
@IAMartin_
| 473,450 followers
Madikteta wanashughulikiwa na Allah. Idris Deby kaingia madarakani 1990. Ametawala CHAD miaka 30. Uchaguzi April 2021 wapinzani walikataa matokeo. Akajitangaza kwa kishindo. Siku 1 baada ya kujitangaza, amekwenda kuongoza vikosi vya jeshi dhidi ya waasi, amechezea shaba,AMEFARIKI https://t.co/pcsEDOFaUc