@darmpya_ | 125,362 followers
Naibu Spika wa @bunge_tz, @TuliaAckson, leo Aprili 20, 2021 amelieleza Bunge kuwa, Rais Mhe. @SuluhuSamia hakuwahi kutoa ahadi ya shilingi milioni 50 kwa kila kijiji popote pale huku akiwataka wabunge kutomlisha maneno wala kumbebesha mizigo na kumuacha atimize majukumu mengine.

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 15 replies and 6 quotes found
Mh naibu spika kwani hayakuwa maneno ya Ilani ya CCM? Na umeanza lini kuwa msemaji wa serikali huku sisi tunakutegemea kama msemaji wa wananchi? Ila haya kama wabunge wote sasa wamepigiwa kura na serikali ni haki yenu kuwa watetezi wake na kuwapongeza tu
 
In reply to @darmpya_
Huyu Betina bila nguvu ya dola asingekuwa Mbunge wala naibu Spika,ndio maana anaongea upumbavu kana kwamba Watanzania ni wajinga sana
 
In reply to @darmpya_
Huyu Tulia nina wasiwasi na URAIA wake maana amekaa kiaina kama wa Zambia,,,,,,, katika kipindi cha Kampeni za 2015 moja ya ahadi za CCM ilikuwa ni 50miloni kila Kijiji au kata kwa mjini... asituone Watanzania wote ni WAGUMBA wa akili.
 
In reply to @darmpya_
Hili swala anatakiwa kuongea PM au rais mwenyewe sio huyu binti Tulia. Ametumia sheria ipi kuongea mambo ya mhimili mwingine?
 
In reply to @darmpya_
2/2 Bunge ni chombo cha wananchi siyo cha spika wala naibu wa spika na wabungu wanayo haki ya kuhoji yale ambayo mliweka mkataba nao. Kwa hyo naibu wa spika jukum lake ni mwita waziri mkuu au waziri ofisi ya waziri mkuu atupe majibu. Siyo jukum la spika au naibu kutoa mjibu
 
Mie nakumbuka kumuona na kumsikia Mwendazake akitoa ahadi hiyo kwa Serikali za vijiji kwenye campaign ya urais 2015 October
 
Ni kweli kwenye uchaguzi wa 2020 hawakuwahi kutoa ahadi hiyo. Pia yeye kama rais Hakuna sehemu alitoa ahadi
 
In reply to @darmpya_
akumbushwe kwamba @SuluhuSamia ameshasema yeye na Magufuli ni KITU KIMOJA, basi na akaitimize hiyo ahadi ASIKWEPE MAJUKUMU. Watanzania sio wajinga aisee.
 
In reply to @darmpya_
ahadi zote za Dr. John ni za chama, lazima zitekelezwa kwa % 100. tusizinguane mapema hivi. na tutavurugana kweli.
 
Si kasema yeye na JPM ni kitu kimoja au naibu ww hukumsikia?

Sasa JPM aliahidi so kwa vile kaahidi jpm kwa hiyo mzigo ni wake pia au @kigogo2014 mzee mwenzangu unasemaje
 
 
In reply to @darmpya_
Mboni mlivyozunguka kuomba kura mlikua mnanadi izo milioni hamsaa sasa imekuaje au ghafla taifa lishakua masikini
 
In reply to @darmpya_
We hujasanuka watu wanaleta maneno ili wapige hela
 
In reply to @TuliaAckson
@TuliaAckson akili hiyo hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10, ilani ya ccm inasemaje!?
 
In reply to @darmpya_
Si alisema yeye na mwendazake ni kitu kimoja?sasa atoe badala yake..mbona simple馃憣
 
In reply to @darmpya_
Inawezekana hakumbuki
 
In reply to @darmpya_
Kama hakuahidi mil. 50 kila kijiji, aliahidi nini? Naibu spika naye asitulishe maneno ya kumdai Mh. Rais. Istoshe yeye si msemaji wa Rais. Rais huyu anataka watu waseme naye atawajibu.
 
In reply to @darmpya_
Aliahidi waksti wa uchaguzi mwaka 2015 akiwa kama mgombea mwenza na ahadi haikutekelezwa kwahyo bado anadaiwa hata kama kawa rais. Ahadi ni deni. Hyo ilikuwa ilani ya ccm
 
kwani si alisema yeye na yule ni kitu kimoja??..馃馃馃馃
 
 
 

Retweeters

13 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.