Analyse @IssaKalenge's tweets
@IssaKalenge
| 31,884 followers
Mbegu zake ziko ndani ya matunda na ni mimea michache sana ndio inaweka mbegu nje ya tunda, tena na yenyewe inaweka mbegu ikiwa imeshikana na hilo tunda hapohapo,kwani unadhani ilishindwa kuweka mbegu zikakaa peke yake na tunda likakaa peke yake,hapana haikushindwa ???? https://t.co/6MsSMpeOoy