Analyse @IssaKalenge's tweets
@IssaKalenge
| 31,884 followers
Kazi ya kubeba mbegu iliyo ndani ya tunda na kuisafirisha kutoka sehemu moja kwenda kwingine bila sisi wenyewe kujua. Huo ndio ujanja wa kwanza wa mimea na hakuna mnyama amefanikiwa kuchomoka hapo kwenye hilo,sio nyani,tumbiri, tembo,wala binadamu anaejiona mjanja kuliko ???? https://t.co/4oLBiq8D6l