In reply to @IssaKalenge
Viumbe wote. ●LADHA/UTAMU WA TUNDA. Siri nyingine ya ujanja wa mimea imejificha hapa kwenye utamu au radha ya tunda,fatilia miti yote ya matunda kabla tunda halijakomaa huwa hayana radha nzuri kabisa na hata yale yanayoliwa na binadamu kwa kuongezewa chumvi au pilipili basi👇🏿👇🏿
Replying to @IssaKalenge
Hutaweza kuyala mengi hata ukiongeza hiyo chumvi,ila utashangaa tunda linapokuwa limekomaa tu basi huwa tamu sana,huwa na rangi ya kuvutia sana na hunukia sana pia,unajua hiyo maana yake nini ? ni kwamba mbegu ya lile tunda imeshakomaa ndio maana linaiva na kuwa tamu na kunukia👇🏿

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 1 replies and 0 quotes found
In reply to @IssaKalenge
Hii yote ni linakuita ili wewe mnyama/binadamu uvutiwe kwenda kulichuma ili uweze kusafirisha mbegu yake toka sehemu 1 hadi nyingine muda ambao wewe umepumbazwa na utamu wake, na ndio maana utamu wa tunda hata mtoto mdogo huwa anaujua yani iwe ni embe,papai,chungwa👇🏿👇🏿
 

Retweeters

No retweeters found
6 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.