Analyse @IssaKalenge's tweets
@IssaKalenge
| 31,884 followers
Kupasuka wala kutafunwa. ●MBEGU ZINAZOTELEZA,ufundi mengine wa mimea uko hapa,kumbuka ni mara ngapi uliwahi meza mbegu ya chungwa au cheza,hata leo hii jaribu kutafuna mbegu ya tango,chungwa,boga utaona zinavyoteleza sasa ile ni moja ya defence strategy na technique ya mmea???? https://t.co/dDERxMFLL7