In reply to @IssaKalenge
Kwa mbegu yake,yani kama inatokea mnyama ana taka kuitafuna basi itateleza na kwenda tumboni lakini pia kama anakula tunda basi mbegu itateleza kukimbilia tumboni anbayo itatoka kwa njia ya haja kubwa na ndio lengo la mmea hilo yani mnyama akainye mbegu yake huko mbali👇🏿👇🏿👇🏿
Replying to @IssaKalenge
●MBEGU SIZOATHIRIWA NA MMENG'ENYO. Yani mimea ilijipanga sana kuhakikisha uzao wake unatoboa kwa njia yoyote ile,unajua mbegu nyingi sana za mimea haziwezi sagwa katika mfumo wa digestion yani ikiingia inatoka kama ilivyo,sasa ingekuwa na maana gani kama inatgemea zisafirishwe👇🏿

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Retweeters

No retweeters found
7 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.