In reply to @IssaKalenge
Nje ili kulinda mbegu ya ndani isiharibiwe hadi itakapokuwa tayari,lakini bado najiuliza hivi MBUYU ulitegemea mnyama gani ukitoa binadamu atazitoa zile mbugu zake kule ndani 🤣🤣 mbona kama ulijiamini sana aisee🤣🤣🤣. ●PILIPILI,hivi pilipili nayo ilituchukuliaje yani wenzie👇🏿 pic.twitter.com/52Twiuo55h
Replying to @IssaKalenge
Wote wakaweka radha tamu sana ila pilipili sijui ilijiamini nini ikaweka washawasha eti,lakini imefanikiwa watu wanaisafirisha mikoa kwa mikoa yani kama hatuna akili nzuri. ●JE MBINU YA MIMEA IMEFAIL?? Unaweza waza kama binadamu ndio moja ya wasafirishaji wakuu wa mbegu za 👇🏿

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 1 replies and 0 quotes found
In reply to @IssaKalenge
Hiyo mimea je kwa binadamu kuwa vinyesi vyetu vinahifadhiwa ndani ya mashimo ya vyoo mimea imefail, pengine jibu ni ndio/hapana. ●NDIO imefail sababu hiyo ni mbinu iliyokuwa envolved na mimea miaka milioni nyingi kabla ya haya maendeleo ya kufungia vinyesi,ila kwa miaka hiyo 👇🏿
 

Retweeters

No retweeters found
5 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.