@millardayo | 1,340,566 followers
“Watuhumiwa tuliowakamata kuhusu sakata la Harmonize ni Frida Kajala Masanja (36), Paula Paul Peter (18), Raymond Mwakyusa maarufu RayVanny (27), Claiton Revocuts maarufu Baba Levo (34), Catherine John na Juma haji (32), wapo nje kwa dhamana na upelelezi unaendelea”- MAMBOSASA

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 11 replies and 8 quotes found
Na wezi walioiba fedha za Umma kama walivyoainishwa kwenye Ripoti ya CAG mmekamata wangapi?
 
In reply to @millardayo
Kwahiyo Kajala alimzaa mwanae akiwa na miaka 18 tu ?
 
In reply to @millardayo
Baba levo 44 Yrs kajala 41 stop kidding us
 
 
In reply to @millardayo
Kwamba babalevo anamiaka 34 daaaa haya bwana
 
Kajala anapunguziwa miaka kila siku
 
In reply to @millardayo
Ikiwa umri wa kajala ni miaka 36 ni Mara mbili ya umri wa Paula,tafuta umri wa Harmonize ikiwakilishwa na herufi x.
 
Harmonize kawageuzia Kibao 😃😃
 
Kajala kumbe mdogo tu!! Aloo BIRINGANYA na Tango Zinazeesha 😆
 
In reply to @millardayo
 
In reply to @millardayo
Hiv hii nayo ni habari kweli ya kuongelea na mkuu wa polisi?
 
In reply to @millardayo
List yote iyo kajala ndo mkubwa
 
Wakimaliza huko waje na huku kwa wanaovyujisha Dm zetu tumechoka unyonge . njooni huku muwatie adabu. #ChafuZamoto
 
In reply to @millardayo
Jina la baba levo nilikuwa silijuwi
 
Watakufeshehesha 😀😀
 
In reply to @millardayo
Kajala bhana,, alianza kufanya matusi akiwa mdogo aisee,,, P. Funk si mtu mzuri aisee
 
💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 💩 msigombane nyote ninyi ni wana CCM jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mkae mkijua sikuhizi tumewastukia mnatengeneza viskendo kuwatoa watu kwenye mambo ya msingi. Elimikeni 🐀 🐀
 
In reply to @millardayo
 
Over 1 replies and quotes not shown

Retweeters

24 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.