@MariaSTsehai | 774,909 followers
Wapiga ngoma tupo tumejaa tele 馃槑
Tukipiga lazima wataicheza tu 馃拑馃徑馃暫馃徑馃獦
Tutambuaneeee 馃槀
#TutaelewanaTu

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 32 replies and 3 quotes found
In reply to @MariaSTsehai
馃槀 馃槀 馃槀 馃槀 馃槀 Mnajua Kukera Aisee. Kwanza Mnakubali. KISHA Mnaendelea. Maana Mara Manyani, Mara Wazandiki, Wapiga Ngoma Watu Mumo Tu. Tena Wewe Utakuwa Yule Mwenye Tugoma Tule Tudogo Twenye Kelele Nyingiii
 
In reply to @MariaSTsehai
Maria kumbe ni mpiga ngoma?! Haya ngoja tuanze kudemka
 
In reply to @MariaSTsehai
Mimi ni stage show (mdemkaji) wa ngoma yako shangazi. 馃槀馃槀
 
In reply to @MariaSTsehai
Mimi Nimeshika Manyanga Huku Aisee SunaHabari Kabisa Naingojea Alhamisi Hapa Nimuone Anavyodemuka
 
In reply to @MariaSTsehai
Bado tunasisitiza UBORA NI KIPAUMBELE KWETU. Karibu Ujipatie Business Cards (Plastic Material) zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu sana. 30,000/= per 50 Pcs Huduma inakufikia popote. Tupigie simu: 0762994422. Karibuni sana. pic.twitter.com/4xgwEdfMFn
 
In reply to @MariaSTsehai
Ngoma ziendelee kupigwa wademke wasidemke siye hatujali wala haituhusu.
 
In reply to @MariaSTsehai
Ilala kulee kuna kiongozi umri ushakwenda mawazoo yakee bilaa bosting kuna shiida miaka mitano wakimpa ubunge tenaa bac
 
In reply to @MariaSTsehai
Shangazi naomba nitengenezewe Id yangu馃槀馃槀馃槀
 
Yaani hawana namna, lazima tu waicheze ngoma ya hapa coz inapigwa kwa ustadi mkubwa.
 
In reply to @MariaSTsehai
 
In reply to @MariaSTsehai
Wa kulia wacheza ngoma, yaani lazima wasimame 馃ぃ馃槀馃ぃ馃槀馃ぃ馃じ馃徑鈥嶁檧锔 pic.twitter.com/SW7kzfIw4I
 
 
In reply to @MariaSTsehai
N mwendo wa kudemka馃槀
 
In reply to @MariaSTsehai
Lazima watademka watake wasitake
 
In reply to @MariaSTsehai
Watu WANAFEMKA HASA!
 
 
In reply to @MariaSTsehai
 
In reply to @MariaSTsehai
@MariaSTsehai A.k.A muwamba Ngoma asievutia kwake 馃槝馃憦馃徑
 
In reply to @MariaSTsehai
Hahahahaha.... naombeni na mimi mnitengenezee kadi basi ya wapiga ngoma
 
In reply to @MariaSTsehai
Watache kudemkaa
 
 
In reply to @MariaSTsehai
Wacheza ngoma tupo!
 
In reply to @MariaSTsehai
Wapiga kama wapiga ngomaaa馃槀馃槀馃槀 pic.twitter.com/hXQfKaZAzB
 
In reply to @MariaSTsehai
Naomba unitengenezee moja... naomba Chama hiki kianzishwe rasmi馃槈馃槈馃槈
 
 
In reply to @MariaSTsehai
Proud Member wa 馃馃馃 association. Hebu Tuhesabiwe , Tupo Wengi tu. Sisi ni Walipa Kodi Tulio na Uchungu na Nchi Yetu . Sisi sio Wanyonge ! Sisi ni Wazalendo !
 
 
Shangazi cha kwangu kipo wapi?
 
 
 
 
 
In reply to @MariaSTsehai
Dada Maria sio kucheza ni kudemka馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ
 
 
In reply to @MariaSTsehai
Lazima kuicheza na haipingwi hiyo
 

Retweeters

97 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.