Analyse @jjmnyika's tweets
@jjmnyika
| 1,022,062 followers
Miezi 5 imepita @TumeUchaguziTZ haijajibu barua niliyowaandikia kutaka watuambie ni nani aliyewasilisha orodha ya majina NEC, ni nani aliyesaini sehemu ya Katibu Mkuu kwenye fomu na. 8D za #Wasaliti19 waliofukuzwa @ChademaTz na kutoa nakala ya nyaraka tajwa. https://t.co/6DWILEWHEj