Analyse @John_Pambalu's tweets
@John_Pambalu
| 273,126 followers
"Miezi 5 imepita @TumeUchaguziTZ haijajibu barua niliyowaandikia kutaka watuambie ni nani aliyewasilisha orodha ya majina NEC, ni nani aliyesaini sehemu ya Katibu Mkuu kwenye fomu na. 8D za #Wasaliti19 waliofukuzwa @ChademaTz na kutoa nakala ya nyaraka tajwa." Mhe. John Mnyika https://t.co/yh5iRjW6zT