Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
"Katika mchango wa Mh. Mtaturu ametaja vijiji kadhaa ambavyo havina maji, katika vijiji hivyo amataja kijiji kinaitwa Mahambe hicho kijiji anatoka @TunduALissu na amekuwa mbunge kwa miaka 10 kijiji chake mwenyewe hata chanzo cha maji hakuna"- Ndugai
#Bungeni
#BajetiWizaraYaMaji https://t.co/2a4cRCK32x
#Bungeni
#BajetiWizaraYaMaji https://t.co/2a4cRCK32x