Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
''Nataka niseme kuwa tiba ni haki yenu ya msingi, katika daraja lolote lile utakalokuwa unaugua, iwe Zahanati, Kituo cha afya, hospitali za kitaifa matibabu ni haki yenu wazee, ombi lenu la kutanua wigo wa matibabu tunakwenda kulifanyia kazi'' - @SuluhuSamia
#RaisSamiaNaWazeeDar https://t.co/IyJlYBCp9U
#RaisSamiaNaWazeeDar https://t.co/IyJlYBCp9U