Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Kupungua kwa usambazaji wa damu kwenye uume kunaweza kutokea kabla ya kupungua kwa usambazaji wa damu kwenye viunngo muhimu kama moyo hivyo wenye matatizo ya nguvu za kiume wanapaswa kuchunguzwa maradhi ya moyo pia. #ElimikaWikiendi https://t.co/6s3QWKEqBE