Analyse @MariaSTsehai's tweets
@MariaSTsehai
| 1,244,658 followers
Narudia kuwapongeza @bavicha_taifa chini ya uongozi wa @John_Pambalu
Kazi mnayofanya ya kukusanya data za wafungwa wa kisiasa na kuendelea kusimamia demokrasia ni muhimu! Msirudi nyuma na kumbukeni haki haiombwi!
Mungu awasimamie wapwa, msichoke ?? #TutaelewanaTu https://t.co/PrQpJR7Bjg