Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Wengi wanaamini utapimlo ni kuwa mwembamba sana lakini kuwa na uzito mkubwa kuliko inavyotakiwa kiafya ni utapiamlo pia. Kitu kinachokuweka kwenye hatari ya maradhi ya moyo, figo, kupanda kwa shinikizo la damu vitu vinavyosababisha upungufu wa nguvh za kiume. #ElimikaWikiendi https://t.co/W7CZoFOtBc