Analyse @Elisalinah31's tweets
@Elisalinah31
| 51,761 followers
Gomes Da Rosa tangu ajiunge na Simba kaiongoza kucheza mechi 20, Kashinda 15, kapoteza mechi 1 tu na kadroo mechi 4. Da Rosa akiwa na Simba wameweza kufunga magoli 39 na kufungwa 9 tu. Simba wako kwenye Right Track ? #ElimikaWikiendi https://t.co/08Fjsith3p