Analyse @ElimikaWikiendi's tweets
@ElimikaWikiendi
| 74,070 followers
Je, Wajua?
Tarehe 13 Julai 2017, waongoza watalii katika eneo la Ndutu, magharibi mwa Ngorongoro na kusini mwa Serengeti, walimshuhudia Simba jike akimnyonyesha mwana wa Chui.
Kisa hiki kilikuwa cha ajabu sana, cha kipekee sana na cha aina yake kuwahi kushuhudiwa ulimwenguni. https://t.co/Ee2xXMhlCH