Analyse @MudrickSoraga's tweets
@MudrickSoraga
| 2,094 followers
Nimeshiriki iftari na Wazee, Wajane na Watoto Yatima katika jimbo letu la Bububu. Nimezungumza na kuwahakikishia umuhimu wa kukutana mara kwa mara na makundi haya maalum katika jamii zetu kuwafariji, kuwasikiliza na kutatua changamoto wanazopitia. https://t.co/IbdSmB7x4h