@EceJay | 666,679 followers
Tulikua too slow, hatukua na mipango, tulimezwa kila idara... Wakati mwengine mie wa kwenye sofa nlikua na uharaka na mipango na maamuzi kuliko wachezaji wa team yangu. I pray kilichotokea leo hakitatokea Dar maana sitaweza kujibeba. Moyo mmoja, lengo moja na #NguvuMoja pls!

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 20 replies and 0 quotes found
In reply to @EceJay
I bet we showing off ili tupige the biggest comeback ever in Dar es Salaam again. We still hold the CAF record for this Dont worry, we got this 馃樂
 
In reply to @EceJay
Ata #Yesu alisema atawainua Walio Dhaifu Na @KaizerChiefs hata ukiangalia Kwa ligue yao ni dhaifu 馃槀馃槀馃槀 Ndio maana wameinuliwa tujipe Moyo tu Na sisi Haya wajameni mwenye kamsitari ka biblia tuishi nacho adi game ijayo kakitupa moyo turuke nacho 馃槀馃槀
 
In reply to @EceJay
We watu wanakimbia match za league ili wajiandae et na match hio, almost three weeks watu hawajacheza wanapata wapi ile morale?? Wenzao kati kat ya week walicheza na akuna vipolo vya kijinga jinga
 
In reply to @EceJay
Sisi Simba hatujaumia wala Kushangazwaa na matokeo ya leooo tuachiee simbaa yetu.馃毝
 
In reply to @EceJay
A bad day in the office. We have no one to blame, this team has made us proud many times and they can still do it. #NguvuMoja
 
In reply to @EceJay
Tulikosa game fitness..dus team ilikuwa sometimes ipo very slow, ila next game hopes tutakuwa wepesi na wenye kasi zaidi
 
In reply to @EceJay
Nguvu Moja馃馃
 
In reply to @EceJay
Dah! Yale makaburu yametufanyia Uzalo asee..
 
 
In reply to @EceJay
sijui tulijua tunaenda tu kuzunguka uanjan then magor yanaingia..! yan wachezaji wamepoa ka pilau la idd pili
 
In reply to @EceJay
atlist wangeenda kwa lengo la kutafuta droo wangefanikiwa alafu huku tujue wanafanyaje..ila walishambulia sana bila kuzuia..
 
In reply to @EceJay
Plan ya kocha ilikua kumiliki mpira,bila kujua Gant alishakubali kumpa Hilo na kutumia udhaifu wa mabeki kucheza pasi ndefu. Match analyst apaki alimdanganya mwalimu
 
In reply to @EceJay
C waga n pira biriani au?
 
In reply to @EceJay
Siku mbaya kazini..
 
In reply to @EceJay
We had no match fitness kabisa
 
In reply to @EceJay
Wamecheza mpira wa hovyo sana.
 
In reply to @EceJay
Kwa sehemu kubwa mlikuwa manongoza ball possession. Nilishawaambia wana simba, hamna kipa wala beki wa maana pale. Sema tu kwamba kwa msimu mzima hamjakutana na washambuliaji walio timamu. Nadhani maneno yangu yamedhihirika, na strikers timamu wangekuwepo mapema, mngetoka mapema.
 
In reply to @EceJay
Anna kitu nyie mikia kisha abari yenu alaaaaaaaaa
 
In reply to @EceJay
Ukitaka kujua goli nne nyingi nenda kwa mama ntilie halafu agiza chapati nne
 
 

Retweeters

No retweeters found
44 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.