Analyse @tonytogolani's tweets
@tonytogolani
| 255,275 followers
Walio wepesi kugawana shida zao na watu, mara nyingi ndio walio wagumu kugawana neema zao na watu. Mkarimu wa shida zake huwa ni bahili wa neema zake, na bahili wa shida zake huwa ni tajiri wa neema zake.