Analyse @neemalugangira's tweets
@neemalugangira
| 20,380 followers
Nilihitimisha Mchango wangu BUNGENI katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/22 kwa kusisitiza Umuhimu wa Serikali kuwekeza katika KINGA badala ya TIBA ili kuokoa Mapato ya Serikali yanayoendelea kupotea kutokana na Ukosefu wa #LisheBora
1/2 ⤵️ https://t.co/8rTDy95v0C
1/2 ⤵️ https://t.co/8rTDy95v0C