Analyse @mshambuliaji's tweets
@mshambuliaji
| 1,398,854 followers
Klabu ya Al Ahly imefikia makubaliano na Simba SC juu uhamisho wa winga Luis Jose Miquissone.
Uhamisho Miquissone 26 raia wa Msumbiji utaigharimu Miamba hiyo ya Afrika ada ya uhamisho ya US$900,000 sawa na Shillingi bilioni 2.1 na atasaini mkataba wa miaka minne. https://t.co/KhAqrjGsbz