Analyse @TunduALissu's tweets
@TunduALissu
| 728,053 followers
Hii ni Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru chini ya CCM. Wanaendesha vita dhidi ya CHADEMA ili wabaki madarakani na watoto wa Kitanzania waendelee kusoma katika mazingira haya. Huu ndio ugaidi. Ndio maana tunadai Katiba Mpya yenye misingi ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu!!! https://t.co/hQdCX6EYvw