Analyse @ayubu_madenge's tweets
@ayubu_madenge
| 276,587 followers
Hii ndiyo sababu Tunapenda Football, hii ndiyo sababu tunaipenda EPL na hii ndiyo sababu tunasema ligi ya Uingereza ni bora kuliko zote duniani. Drama, hisia, Msisimuko na kila aina ya Maajabu. Man City wameshinda na hakuna tena ile “Imagine Being Us”. https://t.co/3gqENgbSea