Analyse @IamFeisalSalum's tweets
@IamFeisalSalum
| 188,059 followers
Hivi ndivyo tunavyosheherekea Tanzania, haya ndio mapenzi tuliyonayo kwenye soka na hawa ni wananchi, sijawahi ona kitu kama hiki hapo kabla, nilikuwa naona nchi za wenzetu tu, hakika HII NI YANGA AFRIKA. Ahsanteni wananchi kwa heshima na mapenzi haya.?????? #Feitoto https://t.co/q2tOyb4wxG