Analyse @nulphin's tweets
@nulphin
| 34,436 followers
Naomba @muhimbiliuniver @WizaraYaAfya na baraza la madaktari Tanzania MCT muangalie ethics breach hii sio sawa. kwanza mwanafunzi wa Mwaka wa 4 anasaini vip kama MD? Pili taarifa za mkonjwa zimesambazwa kwenye mitandao ya kijamii bila consent tatu anasema anatongozwa na wagonjwa https://t.co/RZEEo375Dz