Analyse @cuttah_'s tweets
@cuttah_
| 18,585 followers
MAMBO KUMI YA KUZINGATIA WAKATI UNAJITETEA MAHAKAMANI
1: Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza.
2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwa ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema. https://t.co/x0xJVeDxc3