Analyse @1960Remija's tweets
@1960Remija
| 81,008 followers
Jana mpira ulisimama zaidi ya mara 6 sababu ya fujo, moshi wa fataki kama uwanja wa vita, ballboys walikua wanarusha mipira ovyo uwanjani, jamaa walijiangusha kila dakika, refa nae akaingia kwenye mtego wao. Sisi tuliwasha fataki 3 Taifa tukaishia kupigwa fine. Afrika nyoko sana. https://t.co/CyjVeaIai3