Analyse @Mzeewajambia's tweets
@Mzeewajambia
| 63,507 followers
Simba Sports jipangeni,mkiendelea Kusema Yanga Africa wamekutana na team dhaifu
Mtashangaa wanacheza Fainali ya CAF champions league next season.Hii Fainali ya CAFCC haiwezi Kuwaacha Yanga hivi hivi
Wamepata uzoefu Mkubwa,ambao nyie team Yenu Haina.Tengenezeni Team โ https://t.co/Rf0R2Faish