Analyse @earadiofm's tweets
@earadiofm
| 1,227,363 followers
#MICHEZO Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi amewapongeza wachezaji wa Yanga kwa kile walichokifanya nchini Algeria.
"Vijana wa @yangasc1935 msilie, taifa letu mmelifanyia jambo kubwa sana, nyie hamjui tu. Rudini nyumbani mkiwa vifua mbele!" https://t.co/Q20KkrISkm
"Vijana wa @yangasc1935 msilie, taifa letu mmelifanyia jambo kubwa sana, nyie hamjui tu. Rudini nyumbani mkiwa vifua mbele!" https://t.co/Q20KkrISkm