Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Pamoja na ukweli kuwa zuio hili ni kinyume cha Katiba na sheria za nchi yetu, ambayo inatoa haki ya kuunda vyama vya siasa na kutoa uhuru wa vyama hivyo kunadi sera zake kwa wananchi wakati wowote vitakapoona inafaa. Tunaendelea kupinga zuio hilo. #UhuruWaKufanyaSiasa