Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Msajili wa vyama vya siasa amejipa mamlaka makubwa sana kwa kiwango hata cha kuwa na uwezo wa kuingilia maamuzi ya ndani ya vyama vya siasa na kufukuza/kusimamisha wanachama wa vyama vya siasa #UhuruWaKufanyaSiasa