Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Leo 9/12/2018 ni siku ya kurekodiwa kwenye historia ya nchi yetu ambapo Viongozi wa Vyama vya Siasa 15 Kati ya Vyama 19 vyenye usajili tumekutana na kutoa tamko la pamoja kutaka #UhuruWaKufanyaSiasa kwa kupinga #MuswadaWaVyamaSiasa wenye lengo la kuua Demokrasia ya vyama vingi https://t.co/Hel2BE19Nh